Msaada: Kufungua agency/kampuni ya "labour recruitment".

Msaada: Kufungua agency/kampuni ya "labour recruitment".

mwanakazi

Member
Joined
Apr 10, 2011
Posts
68
Reaction score
37
I hope all is well wanajamvi!

Ninajishughulisha na masuala ya ujenzi (construction), mimi na wenzangu (baadhi ya kampuni za construction za wazawa) tuna mpango wa kuunganisha nguvu na kuanzisha kampuni ya ku'supply nguvu kazi (Labour Recruitment Agency) katika miradi mikubwa ya ujenzi inayofanyika hapa nchini.

Nia na kusudio letu ni kuwekeza katika ku'supply manual labourers for Blue collar jobs kwenye miradi hiyo, na tumejipanga kuwa tuna'supply Labourers on temporary na contract basis. Kazi zetu zitakua tofauti kidogo na (job) recruitment agency nyingine kama radar, aerolink, infinity n.k kwa sababu sisi tunataka kujikita kwenye manual labour/blue collar jobs/unskilled labourers na ni on temporary na contract basis (not permanent), na tuna mpango wa kuwekeza zaidi kwenye building na construction industry, maintenance services, waste management na anywhere ambapo manual labourers wanahitajika.

Kwa imani kubwa niliyokua nayo kwa jukwaa hili naamini kabisa hapa ndio ninapoweza kupata angalau ushauri wa awali juu ya "viability" ya project kama hii na pia cha muhimu zaidi Procedure za kufuata ili ku'register kampuni ya aina hii i.e (Labour Recruitment Agency), pia ningeshukuru kama nitapata msaada wa kufahamu Mamlaka (Government authorities) zipi hasa za kuwasiliana nazo kwa ajili ya vibali, registration na uthibitisho wa kufanya project tunayotaka kuianza.

Mwisho kama kuna mwanajamvi yeyote anaejua au mwenye contact/web za kampuni ya aina hii inayofanya kazi hapa TZ especially katika construction industry ningependa anipe data na taarifa zao pia.

Tafadhali nahitaji sana msaada wenu wa mawazo watanzania wenzangu, nipo katika hekaheka za kujiajiri na kutengeneza ajira kwa vijana wenzangu wa kitanzania.
Please I need your help my fellow country men and women.

Nawasilisha.
 
good,u have tried to take think deeply.
 
Nadhani unaenda Brela na kusajili kama kampuni kama kawaida. Moja ya malengo yake unaweka recruitment. Labda kama unahitaji mahali pa kupata leseni ya biashara hiyo, hiyo ni kitu kingine. Sijui kama leseni yake inapatikana wapi. Ila nadhani kwamba usajili ni brela
 
Back
Top Bottom