MSAADA: Kufungua akaunti ya Benki

MSAADA: Kufungua akaunti ya Benki

VMWare-Oracle

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2021
Posts
667
Reaction score
917
Habarini wanajamvi.

Hivi inawezekana kufungua account ya benki (personal account) Kwa kutumia namba ya NIDA pasipo kitambulisho cha NIDA?

Uzi tayari.
 
Kwa sababu una namba ya NIDA tu, kuna baadhi ya bank watakutaka uende na barua ya serikali ya mtaa.
 
Inawezekana kufungua crbd km sina nida wala cha mpiga kura?
 
Hivi si unaweza kuprint nakala online?
 
Download app ya CRDB sim banking ufungue account yako mpya bila kuangaika kwenda bank.
 
Hivi kama ule utaratibu uliopendekezwa na Mwigulu kwamba watu wote kuanzia miaka 18 na kuendelea wawe na tin namba ili wakatwe kodi kwa kila muhamala wanaoufanya, je ndio kusema ukipeleka hela benki kama umeuza mali yako fulani ndio unakatwa kodi juu kwa juu? Maana kuna baadhi ya benki ukiingiza hela nyingi lazima wakuhoji umezipata wapi.
 
May mie walikataa… wakaomba barua ya mwajiri
Bank nyingi wafanyakazi wake hawana taarifa sahihi japo wao wanafanya hizo kazi ila karibia bank nyingi unaweza fungua accena kitambulisho cha nida na kupewa debit card hapo hapo
 
Back
Top Bottom