VMWare-Oracle
JF-Expert Member
- Dec 19, 2021
- 667
- 917
NdiyoInawezekana kufungua crbd km sina nida au cha mpiga kura?
Kama zipi?Kwa sababu una namba ya NIDA tu, kuna baadhi ya bank watakutaka uende na barua ya serikali ya mtaa.
Nenda Equity na nida namba uone kama hujarudiNdio boss, inawezekana.
Equity bank pia kwa sasa inawezekanaInategemea na bank…
Crdb unaweza
Equity huwezi…
Mimi nimefungua nikiwa na namba ya NIDA tuNenda Equity na nida namba uone kama hujarudi
Mimi nimefungua nikiwa na namba ya NIDA tu
May mie walikataa… wakaomba barua ya mwajiri
Tatizo CRDB makato yapo juu.Download app ya CRDB sim banking ufungue account yako mpya bila kuangaika kwenda bank.
Inawezekana ulienda kipindi hajapata mfumo wa NIDA, kwa sasa hawana shida juu ya hilo.May mie walikataa… wakaomba barua ya mwajiri
Nitahitajika kuwa na nini na nini ili wanifungulie? Maana vitambulisho sinaNdiyo
Namba ya nida na dole gumbaNitahitajika kuwa na nini na nini ili wanifungulie? Maana vitambulisho sina
Kwann Equity bank huweziInategemea na bank…
Crdb unaweza
Equity huwezi…
Bank nyingi wafanyakazi wake hawana taarifa sahihi japo wao wanafanya hizo kazi ila karibia bank nyingi unaweza fungua accena kitambulisho cha nida na kupewa debit card hapo hapoMay mie walikataa… wakaomba barua ya mwajiri