ezekeo Member Joined Aug 27, 2022 Posts 63 Reaction score 158 Mar 12, 2024 #1 Wakuu Namba yangu imefungiwa kutumia WhatsApp business. Kuna taarifa nyingi za muhimu sana nazihitaji kutoka kule WhatsApp Business. Naomba msaada kwa anayejua namna ya kufanya ili namba yangu iweze kuruhusiwa kutumia tena WhatsApp Business. Ahsanteni
Wakuu Namba yangu imefungiwa kutumia WhatsApp business. Kuna taarifa nyingi za muhimu sana nazihitaji kutoka kule WhatsApp Business. Naomba msaada kwa anayejua namna ya kufanya ili namba yangu iweze kuruhusiwa kutumia tena WhatsApp Business. Ahsanteni
Dr Matola PhD JF-Expert Member Joined Oct 18, 2010 Posts 60,050 Reaction score 104,466 Mar 12, 2024 #2 Fake WhatsApp, msipende kudandia Vitu vipya mitandaoni.
thegeniustzda JF-Expert Member Joined Dec 14, 2017 Posts 211 Reaction score 358 Apr 16, 2024 #3 mm nafikiri kuna error kwenye whatsapp ase sio kawaida kitu kama hichi mm whatsapp ya pili wamebanned na sijafanya kosa
mm nafikiri kuna error kwenye whatsapp ase sio kawaida kitu kama hichi mm whatsapp ya pili wamebanned na sijafanya kosa