thnx mkuu ! nlifnya kwenda tcu n thnx God nmehamishiwa UDOM(law) wamenipa na mzigo wakutosha(booom)I heard ukiwa na vigezo vya kubadilishiwa kama hvyo hali yako ya kiuchumi, ukienda tcu wanaweza kukubadilishia.
Ulipochagua ulikua unawaza nn au ulikuwa umekula ugoro!
thnx pia kwa kuonekana umecommentUlipochagua ulikua unawaza nn au ulikuwa umekula ugoro!
thnx pia kwa kuonekana umecomment
:spy::bange::majani7:
thnx mkuu ! nlifnya kwenda tcu n thnx God nmehamishiwa UDOM(law) wamenipa na mzigo wakutosha(booom)
Ulipochagua ulikua unawaza nn au ulikuwa umekula ugoro!
mkuu pole sana bt me nmefanikiwa ! wamenipeleka udom -lawHata mimi nina shida hiyo; but tcu waliniambia muda wa kupokea maombi ya kuhama ulikuwa ni tar 5 juzi, so tushachelewa. pole!
nimeelewa Mzee nisamehe !wewe ni msomi sasa,tena wa sheria,jifunze kuandika kwa ufasaha na staha