Msaada kuhama chuo

Msaada kuhama chuo

SUBUYAH

Member
Joined
Aug 15, 2012
Posts
12
Reaction score
2
wadau nlikua naomba msaada wa mawazo kuhusu kuhama chuo! nmechaguliwa tumaini dar(law) bt mwenzenu mimi ni mtoto wa mkulima siwez kumudu tution fee ya 2.5 Miln. chuo nahtaji kwenda bt ugumu ndo huo, Naombeni msaada wenu wadau kama inawezekana kuhamia chuo kingine. natanguliza shukurani za dhati
 
I heard ukiwa na vigezo vya kubadilishiwa kama hvyo hali yako ya kiuchumi, ukienda tcu wanaweza kukubadilishia.
 
Ulipochagua ulikua unawaza nn au ulikuwa umekula ugoro!
 
I heard ukiwa na vigezo vya kubadilishiwa kama hvyo hali yako ya kiuchumi, ukienda tcu wanaweza kukubadilishia.
thnx mkuu ! nlifnya kwenda tcu n thnx God nmehamishiwa UDOM(law) wamenipa na mzigo wakutosha(booom)
 
thnx mkuu ! nlifnya kwenda tcu n thnx God nmehamishiwa UDOM(law) wamenipa na mzigo wakutosha(booom)

wewe ni msomi sasa,tena wa sheria,jifunze kuandika kwa ufasaha na staha
 
Ulipochagua ulikua unawaza nn au ulikuwa umekula ugoro!

stop being so rude?
Hivi ukimkuta mtu katumbukia kwenye shimo,utaanza kumuuliza kwanza ilikuaje hadi ukatumbukia ilihali bado yupo shimoni au utamtoa umpeleke hosp ndo hayo yafuate? Nijibu.
 
Hata mimi nina shida hiyo; but tcu waliniambia muda wa kupokea maombi ya kuhama ulikuwa ni tar 5 juzi, so tushachelewa. pole!
 
Hata mimi nina shida hiyo; but tcu waliniambia muda wa kupokea maombi ya kuhama ulikuwa ni tar 5 juzi, so tushachelewa. pole!
mkuu pole sana bt me nmefanikiwa ! wamenipeleka udom -law
 
Back
Top Bottom