Aandika barua ya kuomba nafac kwnd halmashaur unayotaka kuhamia ipitie kwa mkuu wk wa shule, deo+ded ambatanisha id ya kazi..., ukshajbiwa uandike barua ya kuomba uhamisho ipitie kwa mkuu,deo na ded then wakuandikie kibali kipitie kwa katb tawala mkoa kwnd tamisemi.