Elly Andrew
JF-Expert Member
- Jun 10, 2011
- 411
- 175
Tafadhalini naomba kujuzwa mambo muhimu ya kufanya ktk kutekeleza uhamisho wa mwalimu(yaani ni vitu gan anapaswa kuwa navyo na vitu gan vya kufanya mf.barua ktk kudai ruhusa ya kuhama bila kubadilishana na mtu)