MSAADA: Kuhamishwa kituo cha kazi bila kulipwa stahiki zako za Uhamisho,natumia kifungu gani cha sheria kudai stahiki zangu?

Profesa wa Maliasili

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2018
Posts
632
Reaction score
1,910
Nina miaka Tisa kazini toka nimeajiriwa serikalini,mwezi huu nimepata barua ya uhamisho kutoka Dodoma kuja Mwanza lakini barua yangu inasema uhamisho wangu hautagharamiwa na ofisi.

Naomba kama yupo anayejua taratibu za namna ya kuandika barua ya aina hii ya madai au malalamiko kwa muajiri wangu ili anilipe stahiki zangu anisaidie,

Nimesharipoti kituo changu kipya cha kazi na ninaendelea na majukumu yangu kama kawaida,sikutaka kuukataa kuja kuripoti kwa sababu pia mwanza ni mkoa niliokuwa natamani pia kuishi.

Naomba kuwasilisha kwenu wanasheria
 
Nimehamishwa na Mamlaka,

Niliwahi kuomba miaka mitano nyuma ila walikataa na kuandikiwa barua kwa kujibiwa kuwa ombi langu limekataliwa hivyo huu wa sasa hivi sikuomba na hata barua haijaqoute barua yangu ya zamani

Wameniandikia tu kuwa huu uhamisho ni wa kawaida unaolenga kuboresha utendaji kazi
 
Namtafuta mwanasheria au mwenye uelewa anisaidie namna ya kuandika barua hiyo na vifungu gani vya sheria vya kuqoute kwenye barua yangu
Mtafute Wakili Alhaji Majogolo yupo mwanza ni mbobevu kwenye maswala ya Sheria za wafanyakazi atakusaidia vizuri sanaa
+255 767 386 969
 
Nina miaka Tisa kazini toka nimeajiriwa serikalini,mwezi huu nimepata barua ya uhamisho kutoka Dodoma kuja Mwanza lakini barua yangu inasema uhamisho wangu hautagharamiwa na ofisi.

Naomba kama yupo anayejua taratibu za namna ya kuandika barua ya aina hii ya madai au malalamiko kwa muajiri wangu ili anilipe stahiki zangu anisaidie,

Nimesharipoti kituo changu kipya cha kazi na ninaendelea na majukumu yangu kama kawaida,sikutaka kuukataa kuja kuripoti kwa sababu pia mwanza ni mkoa niliokuwa natamani pia kuishi.

Naomba kuwasilisha kwenu wanasheria
Hatua kwa uchache unaandika barua ya malalamiko kwa mtendaji mkuu wa wizara yako PS usiporidhika unaenda Public service commission
 
Nimehamishwa na Mamlaka,

Niliwahi kuomba miaka mitano nyuma ila walikataa na kuandikiwa barua kwa kujibiwa kuwa ombi langu limekataliwa hivyo huu wa sasa hivi sikuomba na hata barua haijaqoute barua yangu ya zamani

Wameniandikia tu kuwa huu uhamisho ni wa kawaida unaolenga kuboresha utendaji kazi
walikaa na ombi lako, nafasi imepatikana wamekuhamisha, hautalipwa kwa kuwa uliomba
 
Nina miaka Tisa kazini toka nimeajiriwa serikalini,mwezi huu nimepata barua ya uhamisho kutoka Dodoma kuja Mwanza lakini barua yangu inasema uhamisho wangu hautagharamiwa na ofisi.

Naomba kama yupo anayejua taratibu za namna ya kuandika barua ya aina hii ya madai au malalamiko kwa muajiri wangu ili anilipe stahiki zangu anisaidie,

Nimesharipoti kituo changu kipya cha kazi na ninaendelea na majukumu yangu kama kawaida,sikutaka kuukataa kuja kuripoti kwa sababu pia mwanza ni mkoa niliokuwa natamani pia kuishi.

Naomba kuwasilisha kwenu wanasheria
Najua ni sheria, ila serikalini kuna kudeka Sana,
Sasa unalipwa mshahara, si utumie mshahara wako kuhamia huko kwingine?
Maana kama ungekuwa ndio umepata ajira upo mtwara nanyumbu harafu ajira ipo Kagera kyelwa, je utaomba hiyo taasisi ikupe HeLa ya kuhama? Unaama tu, Mambo mengine utayaweka vzr kadri siku zinavyokwemda, ndio maisha yetu sekta binafsi(hata sie tunalipa Kodi, ila ni watumishi wa umma tu wanaolipwa kwa Kodi zetu)
 
Nina miaka Tisa kazini toka nimeajiriwa serikalini,mwezi huu nimepata barua ya uhamisho kutoka Dodoma kuja Mwanza lakini barua yangu inasema uhamisho wangu hautagharamiwa na ofisi. Naomba kama yupo anayejua taratibu za namna ya kuandika barua ya aina hii ya madai au malalamiko kwa muajiri wangu ili anilipe stahiki zangu anisaidie, Nimesharipoti kituo changu kipya cha kazi na ninaendelea na majukumu yangu kama kawaida,sikutaka kuukataa kuja kuripoti kwa sababu pia mwanza ni mkoa niliokuwa natamani pia kuishi. Naomba kuwasilisha kwenu wanasheria
Uhamisho umeomba au wao ndio wamekuhamisha?
 
Kama hutopata nicheki DM. Binafsi nimelipwa. Siku hizi wanalipa tena kwa kiwango kipya cha posho.
 
Najua ni sheria, ila serikalini kuna kudeka Sana,
Sasa unalipwa mshahara, si utumie mshahara wako kuhamia huko kwingine?
Maana kama ungekuwa ndio umepata ajira upo mtwara nanyumbu harafu ajira ipo Kagera kyelwa, je utaomba hiyo taasisi ikupe HeLa ya kuhama? Unaama tu, Mambo mengine utayaweka vzr kadri siku zinavyokwemda, ndio maisha yetu sekta binafsi(hata sie tunalipa Kodi, ila ni watumishi wa umma tu wanaolipwa kwa Kodi zetu)
Rubbish ,unajua kanuni za utumishi wa umma wewe,mambo mengine muwe mnakubali yawapite,sio kila kitu utie neno ilikhali huna maarifa ya hoja iliyoulizwa
 
Nimehamishwa na Mamlaka,

Niliwahi kuomba miaka mitano nyuma ila walikataa na kuandikiwa barua kwa kujibiwa kuwa ombi langu limekataliwa hivyo huu wa sasa hivi sikuomba na hata barua haijaqoute barua yangu ya zamani

Wameniandikia tu kuwa huu uhamisho ni wa kawaida unaolenga kuboresha utendaji kazi
Kwenye kada ya ualimu hii ni ngumu kutokea vinginevyo jichunguze sana vile unaishi na watu ,au utakuwa unavimelea vya ukawa
 
Ki kanuni after five years hata ukiomba mwenyewe unapaswa kulipwa.
 
Back
Top Bottom