The only
JF-Expert Member
- May 19, 2011
- 10,805
- 14,181
Umeona upuuzi uloandikab.et kudeka kazi ni mkataba unaoendeshwa kisheria kulipwa sio matakwa au utashi wa mwajiliwa ni sheria za kaziNajua ni sheria, ila serikalini kuna kudeka Sana,
Sasa unalipwa mshahara, si utumie mshahara wako kuhamia huko kwingine?
Maana kama ungekuwa ndio umepata ajira upo mtwara nanyumbu harafu ajira ipo Kagera kyelwa, je utaomba hiyo taasisi ikupe HeLa ya kuhama? Unaama tu, Mambo mengine utayaweka vzr kadri siku zinavyokwemda, ndio maisha yetu sekta binafsi(hata sie tunalipa Kodi, ila ni watumishi wa umma tu wanaolipwa kwa Kodi zetu)