Profesa wa Maliasili
JF-Expert Member
- Feb 10, 2018
- 632
- 1,910
Fuatilia vyema una pesa boss
naomba kujua kama umeshapata msaadaNamtafuta mwanasheria au mwenye uelewa anisaidie namna ya kuandika barua hiyo na vifungu gani vya sheria vya kuqoute kwenye barua yangu
Mtafute Wakili Alhaji Majogolo yupo mwanza ni mbobevu kwenye maswala ya Sheria za wafanyakazi atakusaidia vizuri sanaaNamtafuta mwanasheria au mwenye uelewa anisaidie namna ya kuandika barua hiyo na vifungu gani vya sheria vya kuqoute kwenye barua yangu
Hatua kwa uchache unaandika barua ya malalamiko kwa mtendaji mkuu wa wizara yako PS usiporidhika unaenda Public service commissionNina miaka Tisa kazini toka nimeajiriwa serikalini,mwezi huu nimepata barua ya uhamisho kutoka Dodoma kuja Mwanza lakini barua yangu inasema uhamisho wangu hautagharamiwa na ofisi.
Naomba kama yupo anayejua taratibu za namna ya kuandika barua ya aina hii ya madai au malalamiko kwa muajiri wangu ili anilipe stahiki zangu anisaidie,
Nimesharipoti kituo changu kipya cha kazi na ninaendelea na majukumu yangu kama kawaida,sikutaka kuukataa kuja kuripoti kwa sababu pia mwanza ni mkoa niliokuwa natamani pia kuishi.
Naomba kuwasilisha kwenu wanasheria
walikaa na ombi lako, nafasi imepatikana wamekuhamisha, hautalipwa kwa kuwa uliombaNimehamishwa na Mamlaka,
Niliwahi kuomba miaka mitano nyuma ila walikataa na kuandikiwa barua kwa kujibiwa kuwa ombi langu limekataliwa hivyo huu wa sasa hivi sikuomba na hata barua haijaqoute barua yangu ya zamani
Wameniandikia tu kuwa huu uhamisho ni wa kawaida unaolenga kuboresha utendaji kazi
Najua ni sheria, ila serikalini kuna kudeka Sana,Nina miaka Tisa kazini toka nimeajiriwa serikalini,mwezi huu nimepata barua ya uhamisho kutoka Dodoma kuja Mwanza lakini barua yangu inasema uhamisho wangu hautagharamiwa na ofisi.
Naomba kama yupo anayejua taratibu za namna ya kuandika barua ya aina hii ya madai au malalamiko kwa muajiri wangu ili anilipe stahiki zangu anisaidie,
Nimesharipoti kituo changu kipya cha kazi na ninaendelea na majukumu yangu kama kawaida,sikutaka kuukataa kuja kuripoti kwa sababu pia mwanza ni mkoa niliokuwa natamani pia kuishi.
Naomba kuwasilisha kwenu wanasheria
Uhamisho umeomba au wao ndio wamekuhamisha?Nina miaka Tisa kazini toka nimeajiriwa serikalini,mwezi huu nimepata barua ya uhamisho kutoka Dodoma kuja Mwanza lakini barua yangu inasema uhamisho wangu hautagharamiwa na ofisi. Naomba kama yupo anayejua taratibu za namna ya kuandika barua ya aina hii ya madai au malalamiko kwa muajiri wangu ili anilipe stahiki zangu anisaidie, Nimesharipoti kituo changu kipya cha kazi na ninaendelea na majukumu yangu kama kawaida,sikutaka kuukataa kuja kuripoti kwa sababu pia mwanza ni mkoa niliokuwa natamani pia kuishi. Naomba kuwasilisha kwenu wanasheria
naomba kujua kama umeshapata msaada
Rubbish ,unajua kanuni za utumishi wa umma wewe,mambo mengine muwe mnakubali yawapite,sio kila kitu utie neno ilikhali huna maarifa ya hoja iliyoulizwaNajua ni sheria, ila serikalini kuna kudeka Sana,
Sasa unalipwa mshahara, si utumie mshahara wako kuhamia huko kwingine?
Maana kama ungekuwa ndio umepata ajira upo mtwara nanyumbu harafu ajira ipo Kagera kyelwa, je utaomba hiyo taasisi ikupe HeLa ya kuhama? Unaama tu, Mambo mengine utayaweka vzr kadri siku zinavyokwemda, ndio maisha yetu sekta binafsi(hata sie tunalipa Kodi, ila ni watumishi wa umma tu wanaolipwa kwa Kodi zetu)
Kwenye kada ya ualimu hii ni ngumu kutokea vinginevyo jichunguze sana vile unaishi na watu ,au utakuwa unavimelea vya ukawaNimehamishwa na Mamlaka,
Niliwahi kuomba miaka mitano nyuma ila walikataa na kuandikiwa barua kwa kujibiwa kuwa ombi langu limekataliwa hivyo huu wa sasa hivi sikuomba na hata barua haijaqoute barua yangu ya zamani
Wameniandikia tu kuwa huu uhamisho ni wa kawaida unaolenga kuboresha utendaji kazi
Ki kanuni after five years hata ukiomba mwenyewe unapaswa kulipwa.