MSAADA: Kuhamishwa kituo cha kazi bila kulipwa stahiki zako za Uhamisho,natumia kifungu gani cha sheria kudai stahiki zangu?

Umeona upuuzi uloandikab.et kudeka kazi ni mkataba unaoendeshwa kisheria kulipwa sio matakwa au utashi wa mwajiliwa ni sheria za kazi
 
Ndio hicho kipengele nimeambiwa nikitumie kwenye kudraft barua yangu, sasa namna ya kuidraft ndio shida na kuiweka kama madai
Nikipata msaada nitashukuru sana
naomba details zako PM ntakusaidia kuandika hiyo barua japo kuwa ulitakiwa kupata transport allowance kabla hujaondoka katika ofisi yako ya kwanza
 
naomba details zako PM ntakusaidia kuandika hiyo barua japo kuwa ulitakiwa kupata transport allowance kabla hujaondoka katika ofisi yako ya kwanza
Hawa ndo binadamu sasa anaumia na la mwenzie kama lake .afu akibarikiwa mnaanza sema freemasonry
 
umeandika kwa hisia sana
 
Andika barua kwa mkurugenzi ulipotoka Wanatakiwa wakulipe !
Halafu usingehama bila malipo hata ya usafiri wa mizigo walitakuwa wagharamie wao
Pia kusafirisha familia ilikua ni jukumu lao!
Bado ya Disturbance allowance pia ni haki yako!
 
Ukisoma standing order kifungu 69 kuhusu uhamisho kinasema;

Transfer means posting of the public servant from one station to another

So As long as wamekuandikia barua ya uhamisho wao ni haki yako kukipwa hizo ni janja janja za halmashauri tu wapige pesa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…