Hazchem plate
JF-Expert Member
- Feb 25, 2011
- 11,048
- 15,465
Mkuu nipo Ok sion defect yoyote MwiliniMiezi miwili vipi unywaji maji?, umepauka, unachoka haraka , Mkuu pole sana
Yes mkuu. Hali ipo vile vile......umebadirisha aina ya vyakula?
Kaka hiyo siyo sawa wahi hospitali kuna issues ya magonjwa makubwa tu hapo ila kabla ya kusema wahii Kwanzaa fanya full blood pictureYes mkuu. Hali ipo vile vile
Hahahahaha mwache utamuua kwa presha huyo.Miezi miwili vipi unywaji maji?, umepauka, unachoka haraka , Mkuu pole sana
Pole sanaWakuu wa Vitengo habarini!
Nina tatizo ambalo silielewi ni miezi miwili sasa napata choo uharo kila ninapo pata haja ila sijioni kama naumwa kabisa.
Najiona niko poa kiafya wala sipati maumivu ya tumbo wala nini ila tatizo ni kuharisha tu
naombeni ufumbuzi wa hili janga.
Asante madam mm nipo normal kwa jinsi ninavyo jiona. Nipo home now soo napata chakula cha uhakika kabisa na maji ya kunywa safi kabisa na kwa wingi sana nadhani na hili joto linachangia.Chakula kinapitia stages tofauti katika kusagika na mwili kupata virutubisho muhimu na hatimae makapi kutoka kama uchafu au haja kubwa.
Haja inapata umbo la sausage katika utumbo mjubwa hii ikiwa ni hatua ya mwisho wa safari ya chakula ulichokula.
Ndiyo maana mkuu ameuliza hapo juu, unywaji wako wa maji , mwili kupauka? Hii inamaana juna stage inaweza kuwa iinarukwa na mwili haupati virutubisho vyote unavyostahili na vingine hutoka kama uchafu.
Nenda hospitali ukatibiwe hili tatizo
Mkuu nime join some points hapo na kupata full picture. Ni kweli kuna siku tulipika pilau hapa hom lakini kukawa hakuna salad. Nikajitosa gengeni nikanunua Nyanya nikatengeneza salad kisha nikala. Na tatizo lilianzia hapo. Soo nimepata picha huenda tatizo ni Amoeba.Pole sana
Kuna wakati imewahi nitokea kwa zaidi ya week moja
Na nilikuwa napata choo laini sana
Kila siku jion
SOLUTION
nenda hospital na wapime choo chako
Kuna ugonjwa unaitwa amoeba
Ni moja ya dalili zake
Lakin Dr atakushauri zaidi
Ni utapona
Maana nilikutwa na huo ugonjwa
Moja ya maelezo ya Dr
Unasababishwa na ulaji wa matunda ambayo hayajaoshwa vizur
Maji ambayo si salama
And the like
Mkuu ntafanya utafiti katika hili. AsanteUtakua unaasili ya mnyama anayeitwa bata
Bosi joto halisababishi kuharisha.Asante madam mm nipo normal kwa jinsi ninavyo jiona. Nipo home now soo napata chakula cha uhakika kabisa na maji ya kunywa safi kabisa na kwa wingi sana nadhani na hili joto linachangia.
Yes. Namaanisha joto linasababisha kunywa maji mengi. Anyway asante kwa ushauriBosi joto halisababishi kuharisha.
Nenda hospitalI. Miezi miwili mingi sana kupuuzia ugonjwa.
Asante mkuuPole sana aisee
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Aisee mimi nikihara siku moja tu napepesuka sembuse miezi miwili? Mkuu pole sana, unafaa kuwekwa makumbusho.