Msaada: Kuharisha miezi miwili mfululizo

Msaada: Kuharisha miezi miwili mfululizo

Hazchem plate

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2011
Posts
11,048
Reaction score
15,465
Wakuu wa Vitengo habarini!
Nina tatizo ambalo silielewi ni miezi miwili sasa napata choo uharo kila ninapo pata haja ila sijioni kama naumwa kabisa.

Najiona niko poa kiafya wala sipati maumivu ya tumbo wala nini ila tatizo ni kuharisha tu
naombeni ufumbuzi wa hili janga.
 
Chakula kinapitia stages tofauti katika kusagika na mwili kupata virutubisho muhimu na hatimae makapi kutoka kama uchafu au haja kubwa.

Haja inapata umbo la sausage katika utumbo mjubwa hii ikiwa ni hatua ya mwisho wa safari ya chakula ulichokula.

Ndiyo maana mkuu ameuliza hapo juu, unywaji wako wa maji , mwili kupauka? Hii inamaana kuna stage inaweza kuwa iinarukwa na mwili haupati virutubisho vyote unavyostahili na vingine hutoka kama uchafu.

Nenda hospitali ukatibiwe hili tatizo
 
Wakuu wa Vitengo habarini!
Nina tatizo ambalo silielewi ni miezi miwili sasa napata choo uharo kila ninapo pata haja ila sijioni kama naumwa kabisa.

Najiona niko poa kiafya wala sipati maumivu ya tumbo wala nini ila tatizo ni kuharisha tu
naombeni ufumbuzi wa hili janga.
Pole sana
Kuna wakati imewahi nitokea kwa zaidi ya week moja
Na nilikuwa napata choo laini sana
Kila siku jion
SOLUTION
nenda hospital na wapime choo chako
Kuna ugonjwa unaitwa amoeba
Ni moja ya dalili zake
Lakin Dr atakushauri zaidi
Ni utapona
Maana nilikutwa na huo ugonjwa
Moja ya maelezo ya Dr
Unasababishwa na ulaji wa matunda ambayo hayajaoshwa vizur
Maji ambayo si salama
And the like
 
Chakula kinapitia stages tofauti katika kusagika na mwili kupata virutubisho muhimu na hatimae makapi kutoka kama uchafu au haja kubwa.

Haja inapata umbo la sausage katika utumbo mjubwa hii ikiwa ni hatua ya mwisho wa safari ya chakula ulichokula.

Ndiyo maana mkuu ameuliza hapo juu, unywaji wako wa maji , mwili kupauka? Hii inamaana juna stage inaweza kuwa iinarukwa na mwili haupati virutubisho vyote unavyostahili na vingine hutoka kama uchafu.

Nenda hospitali ukatibiwe hili tatizo
Asante madam mm nipo normal kwa jinsi ninavyo jiona. Nipo home now soo napata chakula cha uhakika kabisa na maji ya kunywa safi kabisa na kwa wingi sana nadhani na hili joto linachangia.
 
Pole sana
Kuna wakati imewahi nitokea kwa zaidi ya week moja
Na nilikuwa napata choo laini sana
Kila siku jion
SOLUTION
nenda hospital na wapime choo chako
Kuna ugonjwa unaitwa amoeba
Ni moja ya dalili zake
Lakin Dr atakushauri zaidi
Ni utapona
Maana nilikutwa na huo ugonjwa
Moja ya maelezo ya Dr
Unasababishwa na ulaji wa matunda ambayo hayajaoshwa vizur
Maji ambayo si salama
And the like
Mkuu nime join some points hapo na kupata full picture. Ni kweli kuna siku tulipika pilau hapa hom lakini kukawa hakuna salad. Nikajitosa gengeni nikanunua Nyanya nikatengeneza salad kisha nikala. Na tatizo lilianzia hapo. Soo nimepata picha huenda tatizo ni Amoeba.

Ila sasa watapimaje choo akat naharisha mkuu????
 
Asante madam mm nipo normal kwa jinsi ninavyo jiona. Nipo home now soo napata chakula cha uhakika kabisa na maji ya kunywa safi kabisa na kwa wingi sana nadhani na hili joto linachangia.
Bosi joto halisababishi kuharisha.

Nenda hospitalI. Miezi miwili mingi sana kupuuzia ugonjwa.
 
Bosi joto halisababishi kuharisha.

Nenda hospitalI. Miezi miwili mingi sana kupuuzia ugonjwa.
Yes. Namaanisha joto linasababisha kunywa maji mengi. Anyway asante kwa ushauri
 
Badili kabisa chakula unachokula. Kama unakula nyumbani, embu jaribu kula mgahawani kwa wiki moja hivi tena kula aina tofauti ya chakula ambacho unakula sasa.
Pia tumia dawa za Fragyl na Cipro ili kuuwa bacteria walioko tumboni (if any).
 
Back
Top Bottom