Msaada kuhusu Acharya institute-India

Msaada kuhusu Acharya institute-India

sifuri

Senior Member
Joined
May 12, 2013
Posts
154
Reaction score
88
ndugu wanajamii nimefanikiwa kupata scholarship B.COM chini ya early bird scholarship offer katika hicho chuo lakin sio full. nahitajika kujilipia ticket pamoja na msosi chuoni kwa miaka 3.kama mnavyojua Bodi wanavyozingua tumeamua kutafuta njia zingine.mawazo yako nayahitaj sana ili niweze kutimiza malengo yangu. mungu awabariki
 
Tayar una partial scholarship! board wanazingua, wanazngua kvp? umetumia njia mbdala kujiaccomodate! obvious India wako vzur kwa wataalam wa uchumi, sasa bado ujaeleweka unataka msaada wa aina gan hapa? au unataka kupongezwa, fedha au ushauri ?.... jarbu kuclarify maelezo yako wadau waweze kutoa msaada uweweze ku earn ur dream!!
 
Au unataka kuturingishia kuwa umepata scholarship?
 
Back
Top Bottom