ndugu wanajamii nimefanikiwa kupata scholarship B.COM chini ya early bird scholarship offer katika hicho chuo lakin sio full. nahitajika kujilipia ticket pamoja na msosi chuoni kwa miaka 3.kama mnavyojua Bodi wanavyozingua tumeamua kutafuta njia zingine.mawazo yako nayahitaj sana ili niweze kutimiza malengo yangu. mungu awabariki