Wana kitengo chao mtandaoni kinachoitwa Aliexpress.Hapo wanauza bidhaa kwa uchache (hata ukihitaji kitu kimoja)
Kuhusu gharama zao soma article kwenye uzi huu chini: kuna mtu hapa JF alifafanua vizuri.
Step 10: Nilivyowekeza laki moja hadi kuanza kutengeneza milioni moja kila siku 3 (step by step)