Olsea
JF-Expert Member
- Sep 11, 2012
- 466
- 273
Habari wakuu,ninaomba msaada kwa wale wazoefu wa kuagiza vitu Aliexpress,nilinunua bidhaa tarehe 18/09/2024.Percel ikafka Dar es salaam Tanzania tarehe 28/09 mm nipo Mkoa wa Tabora nikajua itanifikia hadi huku maana mara ya mwisho nilitumia posta ilifka had huku.Cha ajabu kufikia tarehe 03/10 niki track percel inanionesha kuwa mm nmeshaipokea na inanitaja
kuwa nmeipokea kwa hyo imekuwa delivered na mfumo unaniambia ndani ya siku 3 uta confirm automatic kuwa nmeshapokea.Nashindwa kuelewa itakuwa percel imekwama wap?wanaoileta n Speedaf.