Msaada kuhusu Aliexpress

Olsea

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2012
Posts
466
Reaction score
273
Habari wakuu,ninaomba msaada kwa wale wazoefu wa kuagiza vitu Aliexpress,nilinunua bidhaa tarehe 18/09/2024.Percel ikafka Dar es salaam Tanzania tarehe 28/09 mm nipo Mkoa wa Tabora nikajua itanifikia hadi huku maana mara ya mwisho nilitumia posta ilifka had huku.Cha ajabu kufikia tarehe 03/10 niki track percel inanionesha kuwa mm nmeshaipokea na inanitaja kuwa nmeipokea kwa hyo imekuwa delivered na mfumo unaniambia ndani ya siku 3 uta confirm automatic kuwa nmeshapokea.Nashindwa kuelewa itakuwa percel imekwama wap?wanaoileta n Speedaf.
 
Umejaribu kumpigia huyo carrier akupe majibu.....!?.
Naona namba yake hapo.
Nilimpigia juz akaniambia mzigo unafika kesho unipigie,jana nmempigia kaniambia nisubirie jumatatu..kilichonipa wasi wasi n hyo ya mfumo kusema nmesha pokea percel tena kwa jina langu.
 
Wapigie speedaf watakupa muongozo
 
Nilimpigia juz akaniambia mzigo unafika kesho unipigie,jana nmempigia kaniambia nisubirie jumatatu..kilichonipa wasi wasi n hyo ya mfumo kusema nmesha pokea percel tena kwa jina langu.


Acha wasiwasi, una mashaka sbb huna experience na online shopping nyingi, tulia carrier atakufikishia mzigo wako
 
tulia mzigo wako utaupata mkuu,, tatizo la hawa ma agent wa speedaf ni tatizo hasa kwa mikoani, wanajehuri hatar, na kingine huwa wanadeliver kwa niaba yako ilo nalo haliko poa,, mzigo usipopata huwez paata refund,, na wao sidhan kama mzigo ukipotea wanarudisha pesa..ila ondoa shaka utaupata,, kama hujaupata tuwasiliane nikupe namba za wakala mkuu dar,, atafuatilia mpaka itajulikana mzigo wako uko wapi
 
Bila shaka ulikwisha pokea mzigo wako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…