Zero Competition
JF-Expert Member
- Sep 12, 2018
- 347
- 553
DuuhHao huwa wanacomplicate life halafu mshahara laku 6
Hawa jamaa niwasumbufu na wapotezeaji mda watu sana fanya utafiti kila mwezi wanatangaza nafasi za kazi kuna tatizo kubwa kwenye hiyo kampuni baada ya kuwa na mtu wa ndani kwenye aptitude test akinipa kila majibu na bado hawakuniita ni wababaishaji haoHabari zenu wakubwa na wadogo
Naomba kuuliza kwa wale ambao wamewahi kupata kazi au kushiriki usahili katika hii kampuni ya Alistair Group
Baada ya kufanya Aptitude test na ile interview nyinge ya pili kwanjia ya WhatsApp je kuna usahili mwingine unaofuata ? Na je kama upo unakua katika mfumo gani ?
Natanguliza shukrani kwa watakaonijibu
ππ»ββοΈHawa jamaa niwasumbufu na wapotezeaji mda watu sana fanya utafiti kila mwezi wanatangaza nafasi za kazi kuna tatizo kubwa kwenye hiyo kampuni baada ya kuwa na mtu wa ndani kwenye aptitude test akinipa kila majibu na bado hawakuniita ni wababaishaji hao
Umepita muda gani tangu ulipotuma video ?Niliishia kutuma video, nmekula blue tick mpaka leo naendelea kujifukiza tu na kuvaa barakoa
πππHao mchakato wa usaili ni kama wanatafuta mfanyakazi ambaye ni Malaika asiye na mapungufu
π π π π π π kumbe tuko wengiNiliishia kutuma video, nmekula blue tick mpaka leo naendelea kujifukiza tu na kuvaa barakoa
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] kumbe tuko wengi
Ilikuwa Sept 2021Umepita muda gani tangu ulipotuma video ?
Ahhaa Sijafuta hata namba yao, huwa natamani kuwatumia nyimbo ya Madee- Haya yote ni maishaπ π π π π π kumbe tuko wengi
Anhaa poa poaIlikuwa Sept 2021
Habari..Habari zenu wakubwa na wadogo
Naomba kuuliza kwa wale ambao wamewahi kupata kazi au kushiriki usahili katika hii kampuni ya Alistair Group
Baada ya kufanya Aptitude test na ile interview nyinge ya pili kwanjia ya WhatsApp je kuna usahili mwingine unaofuata ? Na je kama upo unakua katika mfumo gani ?
Natanguliza shukrani kwa watakaonijibu
Shukrani sana kiongozi, Mungu akutangulie.Habari..
Kwa experience yangu ndogo nliapply pia on September 2021 nkatumiwa aptitude nkafanya...nlitumiwa majibu kuwa nmepass aptitude ...next nilipigiwa simu on 30th December for phone interview then juzi metumiwa email kwenda for face to face interview kesho(Thursday 6th) kumeet na hiring managers...
Skuwah kutumiwa whatsap video or whatever...me process yangu imekua that way... I hope ntakua nmekupa part yamaelezo unayotafta
Email nlotumiwa nai_attach kama evidence zaidi
View attachment 2069437
Just google utapata more information Ila kwa ufupi ni logistics companyNi kampuni inayo deal na vitu gani hasa?
mr uliomba driving au?Habari..