Wana JF,naomba mnisaidie anayefahamu mnunuzi wa asali kwa jumla,au anayenunua asali . namba zangu hizi hapa 0717 796 234 au 0653 38 22 44 au 0719 647 947,niko Dar .any time...
Unayo asali ya kuuza.........unakiasi gani.......ni ya wapi Tabora, Singida? unauzaje lita moja( bei ya kuanzia) ukifunguka zaidi ni rahisi watu kukulink na wanunuzi