Msaada kuhusu asali

Msaada kuhusu asali

Drayene Khaled

New Member
Joined
Jul 14, 2013
Posts
3
Reaction score
0
Wana JF,naomba mnisaidie anayefahamu mnunuzi wa asali kwa jumla,au anayenunua asali . namba zangu hizi hapa 0717 796 234 au 0653 38 22 44 au 0719 647 947,niko Dar .any time...
 
Weka malelezo ya kujitosheleza

Unayo asali ya kuuza.........unakiasi gani.......ni ya wapi Tabora, Singida? unauzaje lita moja( bei ya kuanzia) ukifunguka zaidi ni rahisi watu kukulink na wanunuzi

Wasalaam
 
Nikweli,weka wazi zaidi au ki digitali tunasema funguka zaidi.
Na pia tujue kama wewe ni mkulima au Dalali.
 
Back
Top Bottom