Msaada kuhusu asilimia za mikopo

Msaada kuhusu asilimia za mikopo

Davis chelsea

Member
Joined
Jul 28, 2011
Posts
93
Reaction score
10
gharama za course nayoenda kusoma ni mil 1 na laki 3,nimepewa mil 3 laki 9...hizi ni %ngapi?

umesahau hesabu za kubadili namba kamili kwenda ktk asilimia?. Hilo swali la form one ndg.

We wacha UMASABURI!...hapo kuna hela vitu vingi,sasa asilimia anazozungumzia yeye ni ada atalipiwa kiasi gani,acha kutumia kijambio kucrash wenzio!lione,hesabu za darasani sio za hela!...+#😉...

umepitia thread yake lakini?

Simple arithmetic.
Million3 na laki 9=3,900,000/= hii ni kwa miaka mitatu. Kama kozi yako ni 3yrs.
Gawanya kwa 3 upate kuwa kwa mwaka ni kiasi gani utapewa.
3,900,000/3=1,300,000/=
kwa mwaka mmoja unapewa milion 1 na laki tatu.
Gharama ya kozi ni millioni moja. 1,300,000-1,000,000=300,000.
Malizia hapo.

Umedema!

Back
Top Bottom