Msaada kuhusu Autocom Japan

Msaada kuhusu Autocom Japan

Cash Generating Unit

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2019
Posts
13,286
Reaction score
39,418
Wakuu salam zenu,

Kwanza niwashukuru kwa kuniongoza na kunipa elimu kwenye kuimport gari nilifanikiwa kupitia enhance auto. Good news na expect mwezi huu itakua ishawasili kwa bandari.

Sasa naomba mwongozo kwa aliyewai kuimport na AUTOCOM kuna gari nataka agiza nyingine. Wakati napekua pekua hawa jamaa nao wana gari kali sana piaa afu ni cheap, nilicreate account fasta kuna agent wao hukohuko japan akanichek kama nataka info yyte kuhusu gari nimcheki.

Kama kuna mwana Jf alishawai agiza gari na hawa jamaa Autocom atupe mrejesho kuhusu gari zao na huduma zao zikoje.. kuuliza sio ujinga wakuu.

Karibuni[emoji120]
 
Autocom wako vizuri mkuu. Nshaagiza gari mara mbili kutoka kwao. Gari zao zipo kwenye hali nzuri na bei zao ni nafuu kulinganisha na makampuni kadhaa maarufu ya Japan. Kwa urahisi wacheck ofisi zao mtaa wa Samora pale.
Chombo ipo kwa meli mkuu, documents zishafika tyr ikishuka ntaleta mrejesho. Mimi nilichonga na mjapan direct akanipa bonge la discount[emoji119]
 
Autcom wako vizuri gari zao ziko kwenye hali nzuri.

Karibu Ruaha Freight Ltd ni kampuni iliyo na leseni ya TRA, kutoa mizigo bandarini, viwanja vya ndege na mipakani (borders), yaani freight clearing and forwarding. Tuletee kazi ya kugomboa gari lako, bei zetu ni nafuu, tunafanya kazi Kwa ufanisi na uaminifu mkubwa.
Ada yetu ya uwakala ( agency fee) ni tshs.200,000 tu kwa gari.

Wasiliana nasi kwa anuani ifuatayo;

Ruaha Freight Ltd,
7th Floor, Twiga House (opposite NHC House,
Dar es Salaam- Tanzania.
Email mail: ruahafreight2017@gmail.com
Tel: +255222128447
Mob: +255718 866 651 (call or whatsapp)
 
TRA hawatoi leseni mkuu wanatoa TIN
Mkuu TIN ni kigezo cha kupata leseni ya uwakala wa forodha, lakini pia vigezo vingi inapaswa kutimiza kabla ya kupewa leseni hio.

Screenshot_2021-05-16-20-56-12-976_com.android.chrome.png


Screenshot_2021-05-16-20-57-49-821_com.android.chrome.png
 
Mkuu TIN ni kigezo cha kupata leseni ya uwakala wa forodha, lakini pia vigezo vingi inapaswa kutimiza kabla ya kupewa leseni hio.

View attachment 1787687

View attachment 1787688

Kwanza corporate TIN inatolewa BRELA ukishamalizana na hao jamaa ndo wanakupa certificate ambayo ndo TIN yako then unaenda TRA wanakufungulia file na kukupa certifcate yako ya TIN, watakupa Tax clearance utaenda nayo municipal kwa ajil ya kupata leseni. Sema kama napuyanga.

Kwa Logistic/ clearing company yyte wanatakiwa wawe na cheti kutoka bodi ya usafirishaji sijui. Nafaham hvo
 
Back
Top Bottom