Msaada kuhusu barua ya kazi

Msaada kuhusu barua ya kazi

Clark boots

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2017
Posts
6,770
Reaction score
6,202
Hivi wadau kuna uhusiano wowote wa lugha kwa Tangazo la kazi lililoandikwa kwa kiswahili au kingereza na barua ya maombi ya kazi, inatakiwa iendane na lugha iliyotumika kwenye tangazo..?
 
Lugha Kuu Ni Swahili Labda Uwe Unatuma Kwa Mabeberu, Vinginevyo Andika Kiswahili Sanifu
Uchukue Maisha Haraka. Ajira Nyingi Sana Sasa Hivi
Arusha Wametangaza, Buhigwe
 
Zile za Arusha hv kwann wasingepitia utumishi,mambo ya kuandika kupeleka posta jau kweli...
 
Lugha Kuu Ni Swahili Labda Uwe Unatuma Kwa Mabeberu, Vinginevyo Andika Kiswahili Sanifu
Uchukue Maisha Haraka. Ajira Nyingi Sana Sasa Hivi
Arusha Wametangaza, Buhigwe
Hizo za Arusha na Buhigwe nintaaluma zipi..?
Nipange mkuu nizifuatilie, so unajua mtaani kugumu hatari
 
Back
Top Bottom