Clark boots
JF-Expert Member
- Jun 5, 2017
- 6,770
- 6,202
Lugha Kuu Ni Swahili Labda Uwe Unatuma Kwa Mabeberu, Vinginevyo Andika Kiswahili SanifuHivi wadau kuna uhusiano wowote wa lugha kwa Tangazo la kazi lililoandikwa kwa kiswahili au kingereza na barua ya maombi ya kazi, inatakiwa iendane na lugha iliyotumika kwenye tangazo..?
Upo Wapi Sasa Hivi?Nasubiri jibu
Haa😁😂😅😄😄😄Yuko Uvinza.
Tumechelewa Sana Ndugu Zangu.Tumia lugha iliyotumika kwenye hilo tangazo.
Zile za Arusha hv kwann wasingepitia utumishi,mambo ya kuandika kupeleka posta jau kweli...Lugha Kuu Ni Swahili Labda Uwe Unatuma Kwa Mabeberu, Vinginevyo Andika Kiswahili Sanifu
Uchukue Maisha Haraka. Ajira Nyingi Sana Sasa Hivi
Arusha Wametangaza, Buhigwe
Municipal, Halmashauri Kuna Nafasi Wanaruhusiwa Kuajiri Bila Kupitia Huo MfumoZile za Arusha hv kwann wasingepitia utumishi,mambo ya kuandika kupeleka posta jau kweli...
Hili ndilo jibu sahihiTumia lugha iliyotumika kwenye hilo tangazo.
Ndiyo Ukweli WenyeweHili ndilo jibu sahihi
Hizo za Arusha na Buhigwe nintaaluma zipi..?Lugha Kuu Ni Swahili Labda Uwe Unatuma Kwa Mabeberu, Vinginevyo Andika Kiswahili Sanifu
Uchukue Maisha Haraka. Ajira Nyingi Sana Sasa Hivi
Arusha Wametangaza, Buhigwe
Arusha Ni Za Muda Kada MbalimbaliHizo za Arusha na Buhigwe nintaaluma zipi..?
Nipange mkuu nizifuatilie, so unajua mtaani kugumu hatari
kama una pdf au bango zake weka hapa mkuu nizicheck,, au matangazo yao walipitia Ajira portal..?Arusha Ni Za Muda Kada Mbalimbali
Hapana Waliyatoa Kupitia Mbao Za Matangazokama una pdf au bango zake weka hapa mkuu nizicheck,, au matangazo yao walipitia Ajira portal..?