Msaada kuhusu bei ya Cherehani na Popcorn Machines

till hustling

Member
Joined
Mar 7, 2015
Posts
36
Reaction score
12
nahtaji kujua bei ya v2 hv vwil kwa ajiri ya kujiajiri natanguliza shukuran kwenu.
 
Cherehani ya kawaida butterfly sh. 180, 000/= za hali ya juu zinafika sh.1,2000,000/=. Popcorn machine kwenye sh, 500,000/= kama unataka maelezo zaidi niulize tu. Sijui uko wapi?
 
Mm npo dom na vp kuna bei ya chini zaidi ya popcones and cherehani na pesa inawezaj kuldi kwa popcones na itatumia kiasi gan
 
gitwa
wanakusubiri kama ulivyoomba..pls assist
 
Asante kwa kunikumbusha. Kurudi kwa pesa inategeme eneo uliloweka biashara yako. Cherehani inarudisha kwa haraka kama wewe mwenyewe ni fundi mzuri wa nguo.popcorn machine inaweza pungua mpaka 450000 ukitafuta bila haraka. Mie nipo Moro.
 
asante kwa kunikumbusha. Kurudi kwa pesa inategeme eneo uliloweka biashara yako. Cherehani inarudisha kwa haraka kama wewe mwenyewe ni fundi mzuri wa nguo.popcorn machine inaweza pungua mpaka 450000 ukitafuta bila haraka. Mie nipo moro.

kuongezea tu anaweza kuwa fundi mzuri na sio mwaminifu unapomwambia mtu njoo ijumaa akikisha ijumaa sio jumapili ijayo ndio maana wengi wanapenda vinyozi wakiondoa aywelezetu kila mtu na maisha yake
 
Kuna maduka kadhaa mkoani Kilimanjaro(Moshi Town), Arusha na Dar yanauza Popcorn Machine mpya kabisa kwa Tsh.350,000/= tu. Kwa Dar fika Clocktower kuna duka kubwa sana la vifaa vya umeme na wakala wa Panasonic anazo machine hizo kwa bei nafuu zaidi around laki tatu mpaka tatu na nusu.
 
kwa moshi je mkuu?!?
 
Safi sana mkuu
 
kuongezea tu anaweza kuwa fundi mzuri na sio mwaminifu unapomwambia mtu njoo ijumaa akikisha ijumaa sio jumapili ijayo ndio maana wengi wanapenda vinyozi wakiondoa aywelezetu kila mtu na maisha yake

Umenena vyema
 
Mm npo dom na vp kuna bei ya chini zaidi ya popcones and cherehani na pesa inawezaj kuldi kwa popcones na itatumia kiasi gan
kuna cherehani moja ipo haitumiki ni ya kisasa ya umeme , ukihitaji nitakupatia kwa bei chee tu. Kama unahitaji ni pm
 
Back
Top Bottom