till hustling
Member
- Mar 7, 2015
- 36
- 12
nahtaji kujua bei ya v2 hv vwil kwa ajiri ya kujiajiri natanguliza shukuran kwenu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
gitwa
wanakusubiri kama ulivyoomba..pls assist
asante kwa kunikumbusha. Kurudi kwa pesa inategeme eneo uliloweka biashara yako. Cherehani inarudisha kwa haraka kama wewe mwenyewe ni fundi mzuri wa nguo.popcorn machine inaweza pungua mpaka 450000 ukitafuta bila haraka. Mie nipo moro.
Kuna maduka kadhaa mkoani Kilimanjaro(Moshi Town), Arusha na Dar yanauza Popcorn Machine mpya kabisa kwa Tsh.350,000/= tu. Kwa Dar fika Clocktower kuna duka kubwa sana la vifaa vya umeme na wakala wa Panasonic anazo machine hizo kwa bei nafuu zaidi around laki tatu mpaka tatu na nusu.

kuongezea tu anaweza kuwa fundi mzuri na sio mwaminifu unapomwambia mtu njoo ijumaa akikisha ijumaa sio jumapili ijayo ndio maana wengi wanapenda vinyozi wakiondoa aywelezetu kila mtu na maisha yake
kuna cherehani moja ipo haitumiki ni ya kisasa ya umeme , ukihitaji nitakupatia kwa bei chee tu. Kama unahitaji ni pmMm npo dom na vp kuna bei ya chini zaidi ya popcones and cherehani na pesa inawezaj kuldi kwa popcones na itatumia kiasi gan