Msaada kuhusu bei ya vitunguu swaumu

Msaada kuhusu bei ya vitunguu swaumu

kambipopote

Senior Member
Joined
Nov 15, 2010
Posts
122
Reaction score
22
Bei ya vitunguu swaumu-Kariakoo

Habari zenu Wakuu.

Nahitaji msaada wenu juu ya bei ya sasa ya kulangulisha vitunguu swaumu sokoni Kariakoo kwa kilo moja.

Au kama kuna mdau ana namba ya simu ya dalali wa vitunguu Kariakoo, tafadhali anipatie. Mimi nipo Iringa na nina vitunguu swaumu.

Natanguliza shukrani zangu za dhati.
 
nadhani ni 2000-2500
 
Back
Top Bottom