kambipopote
Senior Member
- Nov 15, 2010
- 122
- 22
Bei ya vitunguu swaumu-Kariakoo
Habari zenu Wakuu.
Nahitaji msaada wenu juu ya bei ya sasa ya kulangulisha vitunguu swaumu sokoni Kariakoo kwa kilo moja.
Au kama kuna mdau ana namba ya simu ya dalali wa vitunguu Kariakoo, tafadhali anipatie. Mimi nipo Iringa na nina vitunguu swaumu.
Natanguliza shukrani zangu za dhati.