Miss Zomboko
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 4,599
- 9,532
Habari zenu wakuu
Kwa yeyote mwenye ufahamu kuhusu biashara tajwa hapo juu naomba msaada wa maarifa na mchanganuo wa namna ya kuganikisha.
1. Naomba kufahamu mtaji kiasi gani unafaa kuanzia ila kiwango kisiwe kikubwa sana.
2. Ni sehemu gani kwa hapa Dar naweza kupata mzigo wa jumla wa hizo bidhaa.
3. Je, biashara hizo naweza kuziuza kwa kufanya home business au ni muhimu niwe na fremu.
4. Upangaji wa bei wa kitu kimoja kimoja ikiwa nimepata belo zima unafanywaje.
Natanguliza shukurani kwa kile utakayetoa michango yako hapa kunisaidia.
Asante