Msaada kuhusu biashara ya blauzi za kike (chiffon), vyombo vya mtumba na pochi za mtumba

Msaada kuhusu biashara ya blauzi za kike (chiffon), vyombo vya mtumba na pochi za mtumba

Miss Zomboko

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2014
Posts
4,599
Reaction score
9,532
Habari zenu wakuu

Kwa yeyote mwenye ufahamu kuhusu biashara tajwa hapo juu naomba msaada wa maarifa na mchanganuo wa namna ya kuganikisha.

1. Naomba kufahamu mtaji kiasi gani unafaa kuanzia ila kiwango kisiwe kikubwa sana.

2. Ni sehemu gani kwa hapa Dar naweza kupata mzigo wa jumla wa hizo bidhaa.

3. Je, biashara hizo naweza kuziuza kwa kufanya home business au ni muhimu niwe na fremu.

4. Upangaji wa bei wa kitu kimoja kimoja ikiwa nimepata belo zima unafanywaje.

Natanguliza shukurani kwa kile utakayetoa michango yako hapa kunisaidia.

Asante
 
kweli tumekuwa wavivu yani kilakitu unataka ufanyiwe? ka unalipa sawa, mizigo ipo mingi maeneo mnazi mmoja na hapa maeneo ya posta yani kila aina ya mitumb ipo ,
 
Nguo katika Belo zinapangwa kutokana na ubora wake
Yaani rangi, upya na fashion Yale
Unazipanga katika makundi kadhaa
Katika makundi yako weka kundi bora zaidi (grade 1) ikurejeshee msingi
Weka kundi jingine la gharama ndogo ndogo na umalizie na kundi la kukupa faida
Kila kundi unalipangia bei zake kulingana na ubora wake.
 
Back
Top Bottom