Asante sana mkuu.Hakuna watu wenye ujuzi huu humu maana hata Mimi nilishawahi kuuliza Kama maswali ya hivi Kama mawili lakini sikujibiwa,kukushauri ingia kwenye mtandao search TRA dar es salaam uchukue contacts zao kisha piga uwaulize, ila siku za kupiga simu ni jumaatatu hadi ijumaa kuanzia saa 2 asubuhi hadi saa 12 jioni ndo mda mzuri wa kuwapata,
Poa mkuu hii kodi ni standard kwa laptop zote au ni baadhi tu.?Ukiamua kubadili supplier kwenda China nina connection ya uhakika na usafiri pamoja na kodi ni usd 50 per pc
Asante sana mkuu.Kodi huwa ni asilimia fulani kwa kila aina ya bidhaa sikumbuki vizuri, ila unapoagiza mzigo inategemea unaupitisha wapi? na anaye clear ni nani? Cha msingi ni kuwa jua kwanza kodi halisi then check shorts cuts.....
Mkuu mimi sijui habari za UK, nina uzoefu na uchina tu.Poa mkuu hii kodi ni standard kwa laptop zote au ni baadhi tu.?
Then ukichukua mzigo toka china kodi itakuwa chini kuliko huko UK? Naomba ufafanuzi.