Hivi una umri gani?
Mkuu ni kweli, zipo pia za Kichina.Inategemeana na aina ya bikira, kuna feki na orijino.
Bora mico umeuliza umeniwahi kidogo tuu ilikuwa niulize mimi.
We dogo msichana kuwa na bikra hakumanishi kila siku mayai yanashuka hilo swali lako lipo kama kachumbari kwa kuwa umemix mambo kibao.
Mliouliza umri mmepevuka kimaadili na kisaikolojia pia
dah!thread za bikra zimezidi mno wajameni!sasa sijui lifunguliwe jukwaa la bikra au sticky thread ya bikra!hebu mods na wadau wengine tufikirie nini kifanyike!
Wakuu huku sasa hivi watoto wamevamia sana,
Kuna kauncle kangu kana miaka 17 tu, kana mchina ana Internet basi kushinda kwake ni huku JF-MMU,Chitchat,Jukwaa la kikubwa.........! Hapo unategemea nini?
Nakahifadhi kwa jina nilifuma cm iko online nikaona naID yake anayoitumia.
Acheni hizo wana jf, mtu akiuliza kitu mjibu kwanza kisha anza kumkosoa, ukiangalia kwenye post yangu nimebainisha kabisa kwamba sijawahi kukutana na msichana mwenye bikira hivyo nahitaji kujua kama kondomu inaweza kutumika endapo msichana ana bikira tene original ya kuzaliwa nayo.
Id za kutosha..Acheni hizo wana jf, mtu akiuliza kitu jibu kwanza kisha anza kumkosoa, ukiangalia kwenye post yake amebainisha kabisa kwamba hajawahi kukutana na msichana mwenye bikira hivyo anahitaji kujua kama kondomu inaweza kutumika endapo msichana ana bikira tene original ya kuzaliwa nayo. Mpatie majibu kwa wanaojua na si kumponda. Lakini inavyoonyesha wengi wenu mnaotukana mna hasira ya kutokubahatika kupata binti yeyote mwenye bikira tangu kukua kwenu.
Id za kutosha..
Pole kwa kukosa msaada wa swali lako, mie sio mjuvi wa hiyo makitu ningekusaidia swahiba,