....acheni kumkashifu jamani,....hii ni ishara tosha somo la biology mashuleni
halifundishwi vile inavyotakiwa kwenye mitaala mashuleni...
Dogo;
Condom hupasuka iwapo tu utaivaa vibaya, au kutumia oil based lubricant...
pili, iwapo msichana ni bikra...haifai hata kidogo kumtoa bikra iwapo hamjakubaliana.
Tatu, kuna uwezekano mkubwa akapata ujauzito iwapo mtafanya ngono siku ambayo
yai lake limepevuka, tayari kutunga mimba. Ujue Mwananke anamzunguko wake kila mwezi,
na kuna tarehe makhsusi yai lake linapokuwa tayari kunasa mimba.
Kwa maoni yangu, jipe kwanza muda mdogo wangu...maana kama bahati mbaya imekuelekea,
siku hiyo hiyo utayojaribu, condom yaweza pasuka, naye akapata mimba....na baada ya
hapo ujue ujana wako na wake kwishney....
Either Utakuwa baba, au ukijitia kuikimbia mimba mzimu wake utakutafuna miaka yote utayoishi.
Abortion is not an option, kuna 50-50 chance mimba ikagoma kutoka,....na binti kupelekewa hata
kufukuzwa kwao.
Tafakari tena "mlango" unaokusudia kuuvunja, kilichomo hukijui madhara yake maishani mwako.