skate-board JF-Expert Member Joined Aug 22, 2018 Posts 490 Reaction score 577 Jun 30, 2019 #1 Vipi wakuu, Ni hivi nina mpango wa kufuatilia bima ya afya, sasa nasikia sasa hivi hawaruhusu wategemezi wengine zaidi ya watoto wako tu,maana nilitaka nikate ya mama yangu! Je ningependa kujua kuna ukweli wowote juu ya hili??
Vipi wakuu, Ni hivi nina mpango wa kufuatilia bima ya afya, sasa nasikia sasa hivi hawaruhusu wategemezi wengine zaidi ya watoto wako tu,maana nilitaka nikate ya mama yangu! Je ningependa kujua kuna ukweli wowote juu ya hili??
F FRESHMAN JF-Expert Member Joined Sep 29, 2011 Posts 9,137 Reaction score 34,793 Jun 30, 2019 #2 mama yako atakubaliwa.. ila lazima uwape copy ya cheti cha kuzaliwa.. ambacho jina lako na la mama yako linaonekana bila longo longo
mama yako atakubaliwa.. ila lazima uwape copy ya cheti cha kuzaliwa.. ambacho jina lako na la mama yako linaonekana bila longo longo
HIMARS JF-Expert Member Joined Jan 23, 2012 Posts 70,791 Reaction score 98,334 Jun 30, 2019 #3 0800110063 Bure Kuanzia saa 2 Asubuhi hadi saa 12 Jioni Siku za Kazi