Msaada kuhusu bima ya afya.NHIF

Msaada kuhusu bima ya afya.NHIF

skate-board

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2018
Posts
490
Reaction score
577
Vipi wakuu,
Ni hivi nina mpango wa kufuatilia bima ya afya, sasa nasikia sasa hivi hawaruhusu wategemezi wengine zaidi ya watoto wako tu,maana nilitaka nikate ya mama yangu!

Je ningependa kujua kuna ukweli wowote juu ya hili??
 
mama yako atakubaliwa.. ila lazima uwape copy ya cheti cha kuzaliwa.. ambacho jina lako na la mama yako linaonekana bila longo longo
 
0800110063
Bure
Kuanzia saa 2 Asubuhi hadi saa 12 Jioni
Siku za Kazi
 
Back
Top Bottom