Msaada kuhusu Bima ya Afya

Msaada kuhusu Bima ya Afya

Kilangi masanja

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
4,495
Reaction score
5,025
Hello habari,

Naomba kufahimishwa kuhusu hili.

Iko hivi, nilimtengenezea Bima ya Afya mke wangu mwaka juzi. Kwa bahati mbaya maradhi yakamwondoa.

Changamoto nilioipata ni kushindwa kuipata kadi ya bima ya afya baada ya umauti wake. Sasa ninajipanga kuoa tena soon nilikua nataka nitoe taarifa kwa NHIF ila sasa sijui naanzia wapi kutokana na mazingira niliopo.

Kwa mwenye uelewa naomba mnisaidie hata mawasiliano aidha ya emails namba zao ili niwaandikie kuwajuza kuhusu hili.
 
Mtu akifa na bima yake inakufa mkatie bima mpya huyo mpya.
Ni kweli najua je nikianza tu procedure mpya kwa huyu hakuna kipingamizi chochote kile mfano ku-verify kua kweli ametangulia mbele za haki.
 
Back
Top Bottom