wakuja town
JF-Expert Member
- Oct 26, 2020
- 898
- 1,343
Kama mteja wa NBC ipo ya tsh 200+ kwa mwaka kwako na wanafamilia yakoHabari za asubui wakuu,
Naomba anaejua bima ya afya yoyote ya gharama nafuu tofauti na nhif anijuze,
Nataka niwakatie wazee wangu, binafsi natumia ile ya nssf ya kuchangia elfu 20 kwa mwezi ......
Hii ikoje mkuu process zake, hyo amount ni laki mbili?Kama mteja wa NBC ipo ya tsh 200+ kwa mwaka kwako na wanafamilia yako
Sent using Jamii Forums mobile app
Yes ni laki mbili na hela kama unaakaunti tembelea tawi lolote utapata msaada mi wananitumiaga meseji ila nina bima tayari so situmii baima yaoHii ikoje mkuu process zake, hyo amount ni laki mbili?
Account sina bt naweza nikafungua, je inachukua mda gan kupata hii huduma na matibabu wanaruhusu hospital zote au ni selective?Yes ni laki mbili na hela kama unaakaunti tembelea tawi lolote utapata msaada mi wananitumiaga meseji ila nina bima tayari so situmii baima yao
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu we nenda tawi lolote ka NBC pale maulizo watakupa.mwongozo kamili.Account sina bt naweza nikafungua, je inachukua mda gan kupata hii huduma na matibabu wanaruhusu hospital zote au ni selective?
Asante mkuuMkuu we nenda tawi lolote ka NBC pale maulizo watakupa.mwongozo kamili.
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante sana mkuuNenda ofisi ya kata onana na afisa maendeleo ukuelekeze jinsi ya kupata bima wao wanaiita bima iliyoboreshwa inatumika osptl nadhani za serikali tu