Msaada kuhusu bima ya afya

Msaada kuhusu bima ya afya

wakuja town

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2020
Posts
898
Reaction score
1,343
Habari za asubuhi wakuu,

Naomba anaejua bima ya afya yoyote ya gharama nafuu tofauti na NHIF anijuze.

Nataka niwakatie wazee wangu, binafsi natumia ile ya NSSF ya kuchangia elfu 20 kwa mwezi ...... Recently wamesitisha kupokea wanachama wapya Kwa mda usiojulikana.
 
Yes ni laki mbili na hela kama unaakaunti tembelea tawi lolote utapata msaada mi wananitumiaga meseji ila nina bima tayari so situmii baima yao

Sent using Jamii Forums mobile app
Account sina bt naweza nikafungua, je inachukua mda gan kupata hii huduma na matibabu wanaruhusu hospital zote au ni selective?
 
Nenda ofisi ya kata onana na afisa maendeleo ukuelekeze jinsi ya kupata bima wao wanaiita bima iliyoboreshwa inatumika osptl nadhani za serikali tu.
 
Back
Top Bottom