Msaada kuhusu BIOMEDICAL engineering

Mussa Ubapa

Member
Joined
Sep 18, 2017
Posts
49
Reaction score
19
Tafadhali mwenye uelewa mpana kuhusu hii health care field.......kuhusiana na future prosperity yake katika nnchi yetu,nnchi za wenzetu ambazo zipo vizuri katika field hii,katika ufundishaji.....uhitaji wake katika health care units na ma hospitals......

Tafadhali dondosha comment yoyote kuhusiana na mada tajwa hapo juu...hata kama ni side negative effects zke
 
Hizi kozi mpya zinazoanzishwa kwenye hii nchi yetu ni risk sana, tulianza na petrolium engineering mpaka sasa wahitimu wako mtaani, sasa tumekuja kwenye biomedical!

Kwa kifupi mkuu hiyo ni kozi nzuri sana ila kwa hapa tanzania daaah, as i said its risky ila unaweza take risk may be pakawa na greater reward badae!!

NB: Ukiwa unasoma usiwaze sana kuhusu ajira, soma kwa bidii ufaulu, huku mtaani siku hizi hakuna uhakika wa ajira maana hata MD tuko nao tu mtaani!!
 
Ahsante bro....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…