Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 18,960
- 67,654
Kuna ndugu yangu anamaliza diplom ya civil engineering mwaka huu. Anataka aunge degree.
Sasa anataka aombe mkopo lakini tatizo ni sehemu ya kuambatanisha cheti cha diploma, vyeti bado na mara nyingi vinatoka kwanzia November, sasa naombeni ushauri wenu nini kifanyike hapo?