Msaada kuhusu Bodi ya Mikopo

Msaada kuhusu Bodi ya Mikopo

Camilo Cienfuegos

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2015
Posts
18,960
Reaction score
67,654
Kuna ndugu yangu anamaliza diplom ya civil engineering mwaka huu. Anataka aunge degree.

Sasa anataka aombe mkopo lakini tatizo ni sehemu ya kuambatanisha cheti cha diploma, vyeti bado na mara nyingi vinatoka kwanzia November, sasa naombeni ushauri wenu nini kifanyike hapo?
 
Mkuu kwa mwaka Jana nilisikia watu wengi walitumia matokeo tu ya chuo (Transcript) na walifanikiwa
 
Back
Top Bottom