JOHNGERVAS
JF-Expert Member
- Mar 22, 2016
- 1,011
- 1,681
namba lazima uwe nazo... wateja wakija kununua kwako ukiwaandikia risiti unaweza waomba namba pia.Hello naomba msaada kwa mwenye ufahamu Kuhusu Bulk sms. kama wanavyotuma hawa watu wa michezo ya kubahatisha hizo namba zetu wanazipata wapi, Mimi nahitaji kujua namna ya kupata hizo namba ili na mm pia niweze kuzitumia kwenye BULK SMS kwa ajili ya baishara yangu.
NB: Tayari nimeshapata sender ID ninachohitaji nipate namba mfano nikitaka kutuma sms kwa wakazi wa Dar es salaam juu ya offer zetu mbalimbali
Namba za simu unakuwa nazo kwenye list yako mara nyingi watoa huduma za bulk SMS wanakuwa na space kwenye portal zao ambapo utaweza kuifadhi number za wateja wako pale na unaweza watumia sms wote kwa pamoja inategemea na muundo na option zilizopo kwenye portal husika .Hello naomba msaada kwa mwenye ufahamu Kuhusu Bulk sms. kama wanavyotuma hawa watu wa michezo ya kubahatisha hizo namba zetu wanazipata wapi, Mimi nahitaji kujua namna ya kupata hizo namba ili na mm pia niweze kuzitumia kwenye BULK SMS kwa ajili ya baishara yangu.
NB: Tayari nimeshapata sender ID ninachohitaji nipate namba mfano nikitaka kutuma sms kwa wakazi wa Dar es salaam juu ya offer zetu mbalimbali
sasa wale watu wa tatu mzuka, au sijui bahati nasibu huwa wanazipata wapi namba zetu?Namba za simu unakuwa nazo kwenye list yako mara nyingi watoa huduma za bulk SMS wanakuwa na space kwenye portal zao ambapo utaweza kuifadhi number za wateja wako pale na unaweza watumia sms wote kwa pamoja inategemea na muundo na option zilizopo kwenye portal husika .
Hata hivyo unaweza unda web application na ukafanya Integration ya bulk SMS API kwa kuweka option mbalimbali na database kwa ajili ya kuchambua location za wateja wako.
Mfano ;
.kama unataka kuwatumia wateja wa Dar pekee utachagua option ya Dar Kisha web app itafetch number za wateja wa Dar TU na kutuma ujumbe moja kwa moja na utaona feedback kwenye hiyo custom web app na kule kwenye portal.
Ni hivyo tu.
This world is dirty!sasa wale watu wa tatu mzuka, au sijui bahati nasibu huwa wanazipata wapi namba zetu?
Kwa Bongo sidhani, labda uwe kama Infobib na Beem!Nje ya mada mkuu na wadau wengine, hiv kuna sms vendors wengine ambao wako cheap mbali na beem africa/ bongolive hapa tanzania? maana hawa jamaa ni wadau wangu ila kwa jinsi navyotumia sms service kwa kiwango kikubwa kwenye system zangu nahis kama bei yao inani gharim sanaa ...package ya sms 5000 simaliz nayo miezi miwili.
Kama kuna vendors wengine please guys naomba nijuzwe
How to become like them sir?Kwa Bongo sidhani, labda uwe kama Infobib na Beem!
Nje ya mada mkuu na wadau wengine, hiv kuna sms vendors wengine ambao wako cheap mbali na beem africa/ bongolive hapa tanzania? maana hawa jamaa ni wadau wangu ila kwa jinsi navyotumia sms service kwa kiwango kikubwa kwenye system zangu nahis kama bei yao inani gharim sanaa ...package ya sms 5000 simaliz nayo miezi miwili.
Kama kuna vendors wengine please guys naomba nijuzwe
Ahsante sana mkuuKuna Sema Communications. Cheap kuliko beam. Suppirt ipo nzuri sana na pia wanakusaidia na extra work kama vile ku prune contact list zako kama kuna namba ambazo hazipokei sms unazotumia ili kuokoa cost etc. Pia hawabani mtu kwa packages