Msaada kuhusu bullet proof

DZUDZUKU

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2012
Posts
3,909
Reaction score
2,115
Habari wana inteljensia.

Naomba kufahamu sababu ya
1. Kwa nini bullet proof inavaliwa kifuani tu na kuacha kichwa kikiwa vurnerable na risasi?

2. Kwa nini mtu anae shoot mara nyingi analenga kifuani na sio kichwani hata kama wapo karibu na mshutiwa?

3. Hizi bullet proof zinatofautiana kwa ubora au zote zina fanana?
Mfano anayotumia Kikwete na anayotumia Obama.

4. Mwisho, material yanayotumika kutengeneza bullet proof ni yepi?

Asanteni.
 
Kwahyo kichwani avae helmet?hapo namba 2 kwa kweli sifahamu,labda wanalenga moyo!
 
1.KICHWA KINA NGUVU ZA KUKWEPESHA RISASI
2.REFNO.1
3.ZOTE SAWA
4.MATERIAL-polyethylene
 
Lengo kuu la bullet proof ni kuokoa risas za mbali,Possibility ya kumlenga mtu kichwani ni ndogo sana ukiwa mbali.
 
Kevlar® is a material formed by combining para-phenylenediamine and terephthaloyl chloride. Aromatic polyamide (aramid) threads are the result. They are further refined, by dissolving the threads and spinning them into regular fibres. When woven, Kevlar® forms a strong and flexible material. If layers of the woven Kevlar® are combined with layers of resin, the resulting ‘rigid’ material is light and has twenty times the strength of steel. It is also superior to specialist metal alloys. However, Kevlar® is expensive due to the demands of the manufacturing process and the need for specialist equipment.
 

Question to red, are material naturaly extracted, if yes from where, if no does any one allowed to design for him self?
 
Binadamu ni mpana hususani maeneo ya mabegani so inakuwa ni rahisi sana kumlenga hapo kuliko kichwa uwe mbali au karibu
 
Nzuri na zilizo imara. nizile zilizo andikwa chagua KIKWETE. wanazovaa wanakijiji masikini
 
zipo kofia bullet proof kama zile wanazo vaa US MARINE
 
ngumu sana kwa mtu kumlenga risasi ya kichwa ndio maana wameonelea bora waukinge moyo ni viambatanishi vyake.
 
Mi nadhani zimetengenezwa na aina ya materials tajwa hapo juu yenye uwezo wa kuivuta risasi kuja kutua juu yake. Na sababu ya pili si rahis kumlenga tu kichwani coz akitingisha kichwa ni rahis kumiss target tofauti na kifuani ambapo ni papana.
 

bullet proof ziko za aina tatu
ya kwanza ni zile ngumu zinazotumiwa kwenye mapigano ya ana kwa ana na adui inakuwa virahisi kukujua kuwa amevaa bullet proof hizi mara nyingi wanazitumia polisi na makomandoo walioko kazi maalumu kukabiliana na adui wa karibu sana
ya pili ni zile ambazo hazionekani yani unaivaa halafu unaweka na nguo ya kawaida hizi zinavaliwa na VIP kama rais pamoja na wapelelezi wanaofatilia mission fulani inakuwa vigumu kumjua kuwa kavaa bullet proof utakuja kumjua pindi risasi unapoana inadunda na kudondoka chini
ya tatu ni zile bullet proof zinazovaliwa kwenye mitambo mikubwa kama ndege na meli kubwa za kijeshi hizi huwa zinafanya kwa kuongozwa na mtambo maalumu kama hili dude










ni kweli kabisa bullet proof zinatofautiana ubora zaidi mfano wanazovaa VIP ni safi kabisa na zingine zinauwezo wa kutoa taarifa kwa dactari husika kuwa aliyeivaa mwili wake uko salama zaidi na pia zina sensi kitu kibaya wale watu wa usalama wanazijua
mara nyingi mtu anatumia kulenga kifuani kwa sababu zifuatazo
1.kifuani ni pale moyo unapokaa na ndipo mishipa mingi ya damu inafanya kazi sasa akipiga pale anaweza kuua mishipa zaidi ya mingi na kusababisha mishipa isipeleke damu kwa haraka zaidi
2.ni sehemu kubwa hata mtu sio ml;engaji anaweza kulenga
zipo bullet proof za kichwani ila huwezi kuzivaa sababu huendi vitani na kama unatembelea maeneo wanausalama watakuwa wameshafahamu eneo husika
 
Mkuu H,Vampire, Binafsi nimeelimika zaidi na Maelezo yako Swali je, Raia wakawaida anaweza kumiliki km ilivyo Bunduki? au hiyo ni kwa watu Maalum? samahani OFF TOPIC kuna hii kitu inaitwa PLASTIC SERGERY zakubadilisha SURA nazo nivipi? Raia anaweza kumiliki? zinapatikana wapi? cna uhakika na Speling, ya hiyo kitu!
 

Kennedy was shot kifuani au kichwani?
 

Me nimeipenda sana hii..imejitahidi kuziba na sehemu nyeti!sio hizi za askari wetu zimeishia kitovuni,
:eyebrows:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…