DZUDZUKU
JF-Expert Member
- Nov 8, 2012
- 3,909
- 2,115
Habari wana inteljensia.
Naomba kufahamu sababu ya
1. Kwa nini bullet proof inavaliwa kifuani tu na kuacha kichwa kikiwa vurnerable na risasi?
2. Kwa nini mtu anae shoot mara nyingi analenga kifuani na sio kichwani hata kama wapo karibu na mshutiwa?
3. Hizi bullet proof zinatofautiana kwa ubora au zote zina fanana?
Mfano anayotumia Kikwete na anayotumia Obama.
4. Mwisho, material yanayotumika kutengeneza bullet proof ni yepi?
Asanteni.