Msaada kuhusu bullet proof

Msaada kuhusu bullet proof

Mkuu H,Vampire, Binafsi nimeelimika zaidi na Maelezo yako Swali je, Raia wakawaida anaweza kumiliki km ilivyo Bunduki? au hiyo ni kwa watu Maalum? samahani OFF TOPIC kuna hii kitu inaitwa PLASTIC SERGERY zakubadilisha SURA nazo nivipi? Raia anaweza kumiliki? zinapatikana wapi? cna uhakika na Speling, ya hiyo kitu!

High Vampire
 
Last edited by a moderator:
Wamarekani wameenda mbali zaidi na technology ya hizi bullet proof.

Kwani wana ballistic body armour ya mwilini ambayo inakinga sehemu kubwa zaidi ya mwili. Ila pia wana ballistic helmet ya kisasa zaidi ya kichwa ambayo ina micro chip ndani yake ambayo wameitreat kama uga wa sumaku positive na kwa wakati huo huo risasi inakuja ikiwa positive. So kwa kwa law za kifizikia, technically same zone za sumaku huwa zina repell and different zones zina attract each other. So risasi inamkimbia mpigwaji yenyewe.

Mbali na hapo wana ballistic shin guard ambayo inakinga risasi hata miguuni. Askari wa marekani ni waoga sana kila sehemu kuna kinga. Sijui sababu wanalipwa mishahara minono na wanataka kufanya matanuzi? Duh!! Maana risk ya kufa kwa risasi imekuwa minimized saana hadi 30% pekee kwa kuvuja damu saaana vinginevyo wengi ni majeruhi kwani hata Paramedic yao frontline ni zaidi ya staff ya Muhimbili, Bugando, na KCMC.

nauza bullet proof pia kwa Raia.
 
Back
Top Bottom