chuchumeta3
JF-Expert Member
- Sep 1, 2015
- 237
- 87
Naomba msaada kwa waliowahi kuagiza magari kupitia kampuni ya car trade view,kuhusu usahihi wa taarifa za magari hayo.usalama fedha. hii kampuni ina tawi Tanzania.asanteni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AsanteTradecarview ni mtandao unaokusanya wauzaji mbalimbali kwa hiyo humo utakuta madealer wengi tofauti lakini mimi nimefanya na real motor na safari ni wazuri sana.
Real motor na safari wana ofisi tzTradecarview ni mtandao unaokusanya wauzaji mbalimbali kwa hiyo humo utakuta madealer wengi tofauti lakini mimi nimefanya na real motor na safari ni wazuri sana.
Real motor na safari wana ofisi tz
OK,asanteReal motor wanayo office jengo la ushirika lumumba
Vipi beforward mkuu? Gari zao zinaaminika?Tradecarview ni mtandao unaokusanya wauzaji mbalimbali kwa hiyo humo utakuta madealer wengi tofauti lakini mimi nimefanya na real motor na safari ni wazuri sana.
Mkuu hao sijafanya nao biashara sina jibu kwa ubora.Vipi beforward mkuu? Gari zao zinaaminika?
Samahani kuna usiri gani hapo katikati, nipe dondoo kidogoNimewahi nunua gari na kuwasaidia jamaa zangu kununua magari kwa kutumia hawa Tradecarview bila kupoteza hata sent, cha muhimu ni kufuata masharti yao ya usiri na kulipa kupitia Paytrade na sio kulipa moja kwa moja kwenye kampuni husika
Pamoja kaka.Mr Comi, usiri ninaozungumzia ni "password" yako ya email kwani cyber pirate wakiinasa wanaweza kupokea pesa yako au wao wakatumiwa gari yako
Kuna ku bargain mkuuOn average naona tradecar view wana bei kubwa sana compared to beforward..linganisha gari aina moja uone
Yah kubargain kupo ndio,bt imagine CIF ya $5,000 na $3000 same car ukibargain wapi utapata nafuu..Kuna ku bargain mkuu
Sio ukiona bei unailipia hiyohiyo
Ni kama unanunua bidhaa kibongobongo
Unawapa best offer yako then mnakubaliana