Msaada kuhusu CAR TRADE VIEW

Msaada kuhusu CAR TRADE VIEW

chuchumeta3

JF-Expert Member
Joined
Sep 1, 2015
Posts
237
Reaction score
87
Naomba msaada kwa waliowahi kuagiza magari kupitia kampuni ya car trade view,kuhusu usahihi wa taarifa za magari hayo.usalama fedha. hii kampuni ina tawi Tanzania.asanteni
 
Tradecarview ni mtandao unaokusanya wauzaji mbalimbali kwa hiyo humo utakuta madealer wengi tofauti lakini mimi nimefanya na real motor na safari ni wazuri sana.
 
Tradecarview ni mtandao unaokusanya wauzaji mbalimbali kwa hiyo humo utakuta madealer wengi tofauti lakini mimi nimefanya na real motor na safari ni wazuri sana.
Asante
 
Tradecarview ni mtandao unaokusanya wauzaji mbalimbali kwa hiyo humo utakuta madealer wengi tofauti lakini mimi nimefanya na real motor na safari ni wazuri sana.
Real motor na safari wana ofisi tz
 
Tradecarview ni mtandao unaokusanya wauzaji mbalimbali kwa hiyo humo utakuta madealer wengi tofauti lakini mimi nimefanya na real motor na safari ni wazuri sana.
Vipi beforward mkuu? Gari zao zinaaminika?
 
Nimewahi nunua gari na kuwasaidia jamaa zangu kununua magari kwa kutumia hawa Tradecarview bila kupoteza hata sent, cha muhimu ni kufuata masharti yao ya usiri na kulipa kupitia Paytrade na sio kulipa moja kwa moja kwenye kampuni husika
 
Samahani kuna usiri gani hapo katikati, nipe dondoo kidogo
 
Mr Comi, usiri ninaozungumzia ni "password" yako ya email kwani cyber pirate wakiinasa wanaweza kupokea pesa yako au wao wakatumiwa gari yako
 
On average naona tradecar view wana bei kubwa sana compared to beforward..linganisha gari aina moja uone
 
LadyRed, Tradecarview ni wakala anayekusanya wauzaji wa magari toka Japan, China, Uingereza, Amerika, Dubai, etc....pamoja na Beforward wakiwa ni wateja wao, sasa unapoingia na kuchagua gari kuna options wamekuwekea kulingana na wewe unavyopenda na unaweza penda gari lakini ikaangukia kwenye bei kubwa
 
Kwa msisitizo nawashauri kununua gari Japan kupitia Tradecarview, mie niliwahi fanya kautafiti na mwisho nikagundua kuwa ukinunua gari showroom Dar au ...... Basi utapigwa cha juu kama 3m mpaka 5m kama faida yao na kulipia Admin cost zao, hivi sasa kununua gari Japan ni rahisi zaidi ya kupatana na hawa waswahili wetu ambao wakati mwingine wanakuwa wamezichezea ili wapate faida kubwa
 
On average naona tradecar view wana bei kubwa sana compared to beforward..linganisha gari aina moja uone
Kuna ku bargain mkuu
Sio ukiona bei unailipia hiyohiyo
Ni kama unanunua bidhaa kibongobongo
Unawapa best offer yako then mnakubaliana
 
Kuna ku bargain mkuu
Sio ukiona bei unailipia hiyohiyo
Ni kama unanunua bidhaa kibongobongo
Unawapa best offer yako then mnakubaliana
Yah kubargain kupo ndio,bt imagine CIF ya $5,000 na $3000 same car ukibargain wapi utapata nafuu..
 
Back
Top Bottom