Msaada Kuhusu Chakula cha Vifaranga vya kuku

MILCAH28

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2014
Posts
1,140
Reaction score
327
Naomba kuuliza hivi...Ukiwa na vifaranga 100....local....
Utaitaji kilo ngapi za chakula uvilishe kwa week...
Vya siku1-week
 
Nijuavyo mimi kuwa kifaranga cha siku moja hadi 7 kinakula gram 25 kwa siku,
Acha na wengine waje wakupe somo kama wajuavyo
 
mie hutumia mfuko wa kg 50 kwa mwezi wa kwanza kidogo kidogo inaongezeka na umri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…